Top Search

LyricsCopy.com

Machungu

par Chorale Des Jeunes Celpa Bagira

lyricscopy.com
Sote wa ulimwengu tumepewa neema kwa kifo chake Yesu. Sasa ni damu yake, ondoleo la dhambi za ulimwengu nzima!

- Aliteswa Bwana kwa´jili yetu sisi wanadamu ili t´okolewe: Ili t´okolewe, Ili t´okolewe

R/ Machungu pia na mateso mengi, Bwana ´liyaona ni kwa´jili yetu; pale Msalabani paitwapo Golgotha; Ulizisafisha dhambi zetu zote; Damu ´maji vika tokea ´bavuni; Huruma.

Na waka mpeleka mpaka machinjoni; Mwokozi ´sulubiwa kama mwana Kondoo.
Ilikuwa ni kuonyesha pendo lake Baba Mungu kwa wanadamu.
Kwa wanadamu, kwa wanadamu

Toka saa sita hadi saa tisa, giza ´kaingia ulimwengu nzima.
Akalia Bwana kwa sauti kuu Eloi Baba yangu! mbona waniacha.
Mbona waniacha, mbona waniacha.

Yesu nkamisha malu nkamisha nkamisha malu nkamisha
Tchilobo cha mvita tchilobo
Yesu mukalenga, mukalenga wanyi mukalenga, mukelenga Tchilobo tchilobo tchilobo cha mvita Ikwata magisi. Kwetu kwata magisi ei ei ei....

Ili t´okolewe hehe, Ili t´okolewee

Yesu ´kakubali kuacha Mbingu na utukufu kaitika ´vaa mwili wa dhambi
Kwa kupigwa kwa Yesu mimi nime pona
Recherche Artistes :

# A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z

Karaoké : Fichiers MP3 & Vidéos Karaoké

Karaoke Fun !