Top Search

LyricsCopy.com

Mwana wa mama

par Khadja Nin

lyricscopy.com
We mwana wa mama
Tunapata haya
Mbele ya duniya wandugu
Kweli tumetubiya
Ju tumerudi ku uwana tena wandugu
Tabu ule utamwambiya nini?
Damu ya wake umemwanga bule

Waca liya
Usiwa ace vile
Uwambiye
Wambiye inchi ni ya siye wote

Mungu akijaliya
Mbele yo duniya
Tutapata namna wandugu
Ata ukiumiya
Jaribu tena ju fitina hayisayidiye
Tabu ule utamwambiya nini?
Ju ni damu ya wake umemwanga bule
Recherche Artistes :

# A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z

Karaoké : Fichiers MP3 & Vidéos Karaoké

Karaoke Fun !