Top Search

LyricsCopy.com

Nani kama mama

par New Jay

lyricscopy.com
[Intro]

Yeah, this dedication kwa mama wote duniani
Mama anapotafuta, sio za kunywa beer ama kupatiya ma bwana
Lakini bwana,....
Mama, I love u

[Hook]

Nani mwema kama mama, hutomupata,
Nani mwema kama mama, hutomuona (x2)

[Verset 1]

Nani kama mama, kwa kweli hakuna kama mama,
Kwa mama mtoto anadeka, anapata anachotaka,
Anadekeshwa kila siku, kwa kweli hakuna kama mama
Mama anapoangaika, anatanga huku kule
Ili wanae wasiteseke
Mama wee, nani kama wewe,....
Mama we, hakuna kama wewe

[Hook]

[Verset 2]

Mama alipo beba mimba, baba akamutupa,
Ndugu na marafiki, wakamutenga
Alivumiliya sana, hakuwaza kunitupa,
Tuliishi kwa shida, nani kama mama...

[Hook]

[ verset 3]

Wa mama (x2) mtoto anadekezwa,
Wa mama (x2) ananyamazishwa
Wa mama (x2) na anabembelezwa
Wa mama (x2) oooh, ooh
Wa mama (x2) anapata anachotaka
Wa mama (x2) na mapenzi uvumilivu,
Wa mama (x2) oh oh oooh mama, hey

[Hook]
Recherche Artistes :

# A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z

Karaoké : Fichiers MP3 & Vidéos Karaoké

Karaoke Fun !